Mpya
7 Photos
+2
Makazi Mpya
Kiwanja cha Makazi Kinauzwa Moshono Kati, Arusha
Moshono kati, Moshono, Arusha
Ukubwa
567 m² (0.14 ekari)
Vipimo vya Kiwanja
12m x 28m x 23m x 39m
Aina ya kiwanja
Makazi
Aina ya udongo
Tifutifu (Loam)
Mkoa
Arusha
Kata
Moshono
Eneo
Moshono kati
Huduma na miundombinu
Barabara
✓ Maji
Mbali na maji ya AUWSA, kiwanja kina kisima cha maji na kinapakana na mfereji wa maji. Umeme
✓ Maelezo
Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja cha makazi kilichopo Moshono Kati, Arusha. Kiwanja hiki kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya familia au uwekezaji wa makazi wa muda mrefu.
Kiwanja kina upatikanaji wa huduma muhimu za maji na umeme. Pia kina kisima cha maji pamoja na mfereji wa maji kwa ajili ya umwagiliaji, hivyo kutoa fursa ya kufanya shughuli za bustani na kilimo kidogo.
Eneo
Bei
TZS 45,000,000
≈ TZS 321.4M kwa ekari
Uliza kuhusu kiwanja hiki Mmiliki amethibitishwa
Tunapanga ziara ya kuona kiwanja
Msaada hadi mwisho wa manunuzi
Namba ya kiwanja: 94888918
Viwanja vinavyofanana
Makazi
1 / 7 TZS 45M
Kiwanja cha Makazi 20 × 32m Kiserian, Mlangarini – Karibu na Arusha Bypass
Kiserian, Mlangarini, Arusha
640 m² (0.16 ekari)
20m × 32m
Angalia →
Makazi
1 / 22 TZS 47.3M
Kiwanja chenye Nyumba Kinauzwa – Ekari 0.43, Muungano Kiserian (Mita 100 kutoka Barabara ya Naberera)
Muungano, Mlangarini, Arusha
1,376 m² (0.34 ekari)
Angalia →
Makazi
1 / 15 TZS 35M
Nyumba tayari kukamilishwa kwenye kiwanja cha 29×43m, Muungano, umbali wa km 1 kutoka barabara kuu
Muungano, Mlangarini, Arusha
1,247 m² (0.3 ekari)
29m × 43m
Angalia →
Makazi
1 / 11 TZS 32M
Kiwanja cha 20×40m Lesoit, Kiserian Kinafaa Kugawanywa Katika Eneo Linalokua kwa Kasi
Lesoit, Mlangarini, Arusha
800 m² (0.2 ekari)
20m × 40m
Angalia →